Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,078
- 10,426
Khaa!! Ebana wanawake wote ni wife materials. Cha msingi mkutane mnaoendana tena kwa vitu vidogovidogo halafu vya kijinga sana ( perfect match). Siyo wewe unapenda kupunga upepo wakati mwenzako anapenda kulalalala you ll never make itAsilimia kubwa ya mabinti humu JF hawafai kuolewa,wana majibu mabaya mno yaani ukipata mke JF lazima awe bomu tu,kwenye thread tu wanavyoreply kama waliokata tamaa au wanakomoa wanaume.
Wachache sana nadhani,ila asilimia kubwa bana hamna kitu.Ukiona mrembo anajibu vibaya humu ujue hata live kachoka kabisa kakata tamaa anakuja kutukana wanaume humu.
UKIPATA MKE JF LAZIMA UJE KULALAMIKA JF