Hivi Jay Z amewahi kupafomu Tanzania???

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
7,328
6,591
Nimeona picha za jay z akiwa bongo,hivi amewahi kupafomu bongo??? Mimi nimekuja mjini kutoka kolomije jana tu ,msinitukane jamani
 
Jibu ni hapana mkuu, unaogopwa sana kutukana eeh???
Hapana?
Screenshot_20180317-002004.jpg
 
Aliwahi kukiwasha pale Diamond mkuu!! Mie nakumbuka niliingia ukumbini saa 5 asubuhi na mkate wangu mkononi, sikutoka nje tena mpka show ilipoanza usiku mkubwa! Nakumbuka pia nilikuwa ni mmoja kati ya walioshikana mkono na Jay Z wakati akipanda jukwaani!! Nilikuwa mdogo bado na Jigga alivutiwa na mm baada ya kuniona nimepiga T-shirt yenye picha yake na Beyonce na nikiwa na bango pia lenye picha yake tulogawiwa na watu wa Clouds fm!!

Sent from my HTC Desire EYE using JamiiForums mobile app
 
umenifurahisha sana mkuu!
 
Sina uhakika ila mi nlimuona mbagala na shangazi yangu alitwishwa ndoo ya maji na beyonce
 
Swali lingetakiwa kuwa Je Beyonce amewahi perfom Tanzania?..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom