Hivi jamani mambo haya tanapa hadi lini.......? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi jamani mambo haya tanapa hadi lini.......?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by notorious big, Jan 29, 2012.

 1. n

  notorious big Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hifadhi ya taifa ya mikumi ilitangaza nafasi kadhaa za askari wanyama pori kwa wenyeji wa mikumi na vijiji vinavyo izunguka hifadhi hiyo kama ujirani mwema kupitia kwa afisa mtendaji wa kijiji cha mikumi, na wanakijiji wengi walipeleka maombi yao kupitia kwa mtendaji wa kijiji na sifa walizo ainisha kuwa wanazitaka ni (a)-uwe na cheti cha form 4, (b)-uwe na cheti cha JKT au MGAMBO. na wapo wanakijiji amabao ni wazawa kabisa wa mikumi na wanasifa zote hizo walizo zihitaji na wamekwisha ita watu kwenye interview tarehe 31/01/2012 hakuna mzawa wa mikumi hata mmoja alie itwa kwenye usahili na ukimuuliza mtendaji wa kijiji anasema hajui kinacho endelea,sasa iwaje barua za maombi zipitie kwake na za majibu zipelekwe juu kwa juu hapo ni wazi kabisa kuwa waliochaguliwa kwenye usahili si wakazi halali wa mji wa mikumi wamewachagua watoto zao na nduguzao kwenye nafasi za wanamikumi wazawa, pia nasikia hata waziri wa maliasili yupo hifadhini mikumi tokea jana .
  Sasa jamani haya manyanyaso ya wanyonge wa mikumi wanaostahiki kupewa nafasi hizi bila ya kuwa na mtetezi itakuwaje...? wenye uwezo wa kuwasaidia wana mikumi wasaidieni jamani huu ni uonezi wa wazi kabisa hasa serekali iliyoko madarakani mnawaona watu wenu hawa..? na ndio watakao wanyima kura 2015 kama hamto washuhulikia. "MAMBO HAYA TANAPA HADI LINI....?"
  ":hatari:
   
 2. M

  Makunga JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 772
  Likes Received: 497
  Trophy Points: 80
  Inauma sana,nadhan wakati umefika watz tuache kuongelea pembeni,nchi hii ni yetu tunamwogopa nani jaman.
   
 3. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Notorious BIG
  Hao wananchi wana hizo sifa zinazotakiwa?
   
 4. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,243
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Soma vizuri alichokiandika ndo ujaze thread!!!!!!
   
 5. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Vanmedy
  Nafahamu nachokiandika na nimesoma.
  Mleta thread athibitishe walioachwa hata usaili wenyewe bado
   
Loading...