Hivi jamani hili likikutokea utafanyaje?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
umetoka zako kazini, umeingia ndani umekuta laptop ya mkeo ipo on. unaona ngoja niingie JF one time. unaingia unakuta mkeo hajalog out hapo kweney JF kuangalia profile yake salaale ni NOTFOUND.
 
Unamaanisha nini unaposema NOT FOUND. Sijakuelewa kabisa.

umetoka zako kazini, umeingia ndani umekuta laptop ya mkeo ipo on. unaona ngoja niingie JF one time. unaingia unakuta mkeo hajalog out hapo kweney JF kuangalia profile yake salaale ni NOTFOUND.
 
ahh kwamba bado AJAPATIKANA?ajapata mwenza?
ukome umbea wako uliambiwa kuchungulia?
unamuuliza tu km vp uenda ana sababu za msing za yeye kuweka ivo...:madgrin:
 
kwamba ajapata mtu?
na wewe kwanini uchungulie kwa mkeo?
may b anasababu za kuandika ivo mwulize atakwambia lakin ukome kuchungulia chungulia...
 
Kumbe yule ni mkeo au unamtania tu!!! NOTFOUND ni mwana JF mwenzetu jamaani loh!!! wife
 
Hizi laptop nazo! wakati mwingine una log out kabisa ukifungua unakuta tena ID yako, mimi akiona hata shangaa huwa namsimulia ila hajawahi niuliza nahisi anaheshimu privacy ya yangu tu
 
Kwenye NOT FOUND hapo mmh!
Au tuseme ndio unakuta laptop ya Girlfriend/ MKE wako ndio yule mwenye I'd ya FAIZA FOXY hivi utafanyaje mkuu SAINT IVUGA na wengine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom