Kwa sababu naona kaamua kuchukua hatua za AJABU kudeal na WAKUBWA serikalini, na hii inapelekea baadhi ya watu kujiuliza huyu mtu ni nani? na yuko pale Tanzania kwa faida ya nani? na je kisheria anaruhusiwa kuweka hizi detail wazi namna hii? kama hii kesi ikienda MAHAKAMANI nadhani its fair kwa wakili wa mtuhumiwa kuomba MISTRIAL kwani tayari keshahukumiwa kabla ya kesi kusikilizwa,vile vile huyu JACK PEMBA kwa hii spidi aliyokuja nayo inanifanya niseme kuwa serikali yetu imekuwa kama mtoto mdogo inaburuzwa LEFT & RIGHT na watu ambao kwa sababu wanapesa bas, hakuna nayezingatia kuwa tuna sheria zetu ambazo zinatakiwa kuheshimiwa, Sasa naona kashawaweka mfukoni watu wa serikali sasa cha kujiuliza thsi this the new KAJUMULO?
Kwa mtu ambaye ni RAIA WA UINGEREZA najuliza hivi hata kibali cha kufanya kazi TANZANIA anacho? Je huko UK ni kawaida kuaanika wakabaya wako kwenye website yako kijinga jinga namna hii?
http://www.globalscoutingbureau.com/tz.htm
Wote hawa ni matapeli na wanavuruga mwenendo wa biashara na wawekezaji Tanzania. Jack Pemba madawa, human trafficking, fraud, arms, magari ya wizi. Kwakweli kina Msoffe na Muzamili kazi yao kubwa ni kusambaza magonjwa tuu kwa vischana vyenu vya mjini vyenye njaa na kutapeli wafanya biashara wakimataifa kwa njia yoyote. Wanahonga polisi na mikono minigne ya dola ndio maana mnawaona bado mitaani na ma range na ma ferrari. Msoffe alinunua ferrari, akaiuza Kenya, hana biashara yoyote yakiivyo inayoeleweka. Mi nashangaa TRA na PCCB wanaleta michezo. Ana magari zaidi ya 30 nyumbani kwakwe, miezi michache iliyopita rafiki wa Msoffe wa karibu alikua akisema kuwa jamaa amenunua nyumba sijui ngapi mikocheni na maeneo mengine dar es salaam. Yani kwa kifupi jamaa ndio hobby yake mpya aside from vimwana.
Muzamili ukimuona uso kwa uso kama anakufa any time. Yani watu waajabu sana hawa. Biashara zinazohitaji Albino ndio za dizaini hii. Wote Pemba, Muzamil, Msoffe na Genge lao watupwe ndani, nchi inakua kama hakuna serikali yenye misingi.!
Muzamili ukimuona uso kwa uso kama anakufa any time. Yani watu waajabu sana hawa. Biashara zinazohitaji Albino ndio za dizaini hii. Wote Pemba, Muzamil, Msoffe na Genge lao watupwe ndani, nchi inakua kama hakuna serikali yenye misingi.!
kumbe Jamii forums walishamjadili sana uyu bwamdogo kipindi wako jambo forums...kweli huu mtandao tunaweza kufanya mabadiliko makubwa sana kwa faida ya nchi yetu...
yaani kumbe haya mambo yalishawai kujadiliwa hapa hata kabla hajasitukiwa ?
JF ni kiboko mada zilizojadiliwa 2007, zinakuja kuwa wazi leo