October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Sasa si ungesoma vizuri kabla ya kunizodoa.
Mtu kasema L9 na mimi nimetaja L9 wewe unataja L9+
Kwani kuna L9 plain mkuu sijui kama ipo hiyo na hata kama ipo still mtoa mada itakuwa kamaanisha L9+ maana kuindika + nayo uvivu kwasababu ndio iko kwenye copetition na K7.