Hivi ipi simu bomba kati ya techno L9 na techno K7

Top gun maverick

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
2,020
2,600
Habari wapendwa husika na mada hapo juu baada ya kutumia Vodafone 200 kwa muda mrefu sasa Niko tena sokoni kuangalia simu yenye uwezo sasa nauliza IPI iko vizuri kati teknoL9 na teknok7
 
Kama haujali muonekano na shida yako ni chaji ya kudumu chukua L9.

K7 ina muonekano wa kisasa ila haina 4G na chaji yake ukiilinganisha na L9, K7 inatoka KO.

Faida ya K7 ni fingerprint na muonekano. Ukitoa hapo K7 na K9 selfie zake ni za timing haswa kwenye swala la mwanga la sivyo zitakuboa.

Sikumbuki ubora wa kamera ya mbele wa L9 ila kwa kamera ya nyuma wanakaribiana sana.

Ukinunua K7 utakua yeboyebo, watu kibao wanazo.
 
thanks bro nitaleta mrejeshooo
 
Mkuu hivi unaijua L9+ vizuri binafsi napenda vitu vizuri na muonekano mzuri maishani mwangu kwa appearance tu hakuna simu yoyote inayoikuta L9+, ina wide screen hata kama unasoma document unaenjoy, kioo ukizima then umeiwekea kava inakuwa na appearance nyeusi inavutia sio poa, ukivua kava nyembamba inayereza siopoa, camera ipo timamu.

katika tecno zote nilizowai tumia L9+ aijawai stack, betri ndio usiseme linasavavivu.

Mkuu chukua L9+ nakushauli.

ndio nayoitumia hapa
 
Mkuu hivi unaijua L9+ vizuri binafsi napenda vitu vizuri na muonekano mzuri maishani mwangu kwa appearance tu hakuna simu yoyote inayoikuta L9+, ina wide screen hata kama unasoma document unaenjoy, kioo ukizima then umeiwekea kava inakuwa na appearance nyeusi inavutia sio poa, ukivua kava nyembamba inayereza siopoa.

katika tecno zote nilizowai tumia L9+ aijawai stack, betri ndio usiseme linasavavivu.

Mkuu chukua L9+ nakushauli.
sawa mkuu
 
Mkuu hivi unaijua L9+ vizuri binafsi napenda vitu vizuri na muonekano mzuri maishani mwangu kwa appearance tu hakuna simu yoyote inayoikuta L9+, ina wide screen hata kama unasoma document unaenjoy, kioo ukizima then umeiwekea kava inakuwa na appearance nyeusi inavutia sio poa, ukivua kava nyembamba inayereza siopoa, camera ipo timamu.

katika tecno zote nilizowai tumia L9+ aijawai stack, betri ndio usiseme linasavavivu.

Mkuu chukua L9+ nakushauli.

ndio nayoitumia hapa
Sasa si ungesoma vizuri kabla ya kunizodoa.

Mtu kasema L9 na mimi nimetaja L9 wewe unataja L9+
 
Back
Top Bottom