Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
TPIL(Tanzania pharmaceutical industries limited ) ni kiwanda cha dawa kilichopo jijini Arusha. Zamani kilikuwa cha serikali lakini kilibinafsihwa mwaka 1997.
Miaka kadhaa iliyopita kiliingia kwenye kadhfa kubwa ya kutengeneza ARV fake. Kuna ingredients hawakuweka wu walichanganya. Hilo likipelekea wasimamishwe kuzalisha ARV sijui kama wameanza.
ARV hutengenezwa na kutolewa bure kwa udhamini wa wahisani na kabla ya hayo ARV zetu tulikuwa tunatoa viwanda vya nje vilivyopewa tenda na wahisani. Ni tenda nono.
Sasa najiuliza kuwa haiwezi kuwa hivi viwanda vyenye tenda viliwafanyia TPI hujuma? Nyinyi mnaonaje?