Willy Johnson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2016
- 316
- 156
Tena ni tatizo kubwa mtu hafikirii namna ya kuongeza huo utajiri au Mali anakuja tu na fikra zake za namna ya kuumaliza huo utajiri au mali.lakini jamani unajua mwanaume ni mwanaume ila shida ni kwamba hiyo selections mnayoitaka mfano mwanaume mwenye hela zake, mwanaume mwenye nyumba kali, mwanaume ambae ana kautajiri ndio kinachowaogopesha wakaka wengi wenye kipato kidogo