Hivi inakuwaje Tovuti nyingi za Serikali namba zake za simu huwa sio za hapo?

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,451
6,325
Nimekuombana na tatizo hili mara kibao sana. Unakuwa na shida flan, unaenda kwenye website husika, unachukua namba ya simu na ukipiga unaambiwa ni namba ya mdada wa kazi sijui wapi huko.

Mfano jana nilikuwa nataka namba ya office ya DPP nimeingia kwenye web yao Nimepata namba napiga kumbe ni namba ya mzee gani sijui yuko Moshi.

Leo pia nilikuwa nataka namba ya Watumishi Houses nimeingia kwenye website yao, nimepata namba napiga kumbe ni namba ya TRA aah sasa inakuwaje Haya mambo

Inakera sana
 
Back
Top Bottom