kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,576
- 12,689
Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu.
Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa.
Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya Kiarabu cha kawaida?