mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 431
Hivi sometimes najiuliza hawa watu wanaopata GPA below 4.5 ni binadamu wa kweli hawa?how binadamu aliyekamilika anapata GPA below 4.5 kwamba huko chuo mlienda kufanya nini?
Au mlienda kuuza sura ama nini? Utakuta mwanaume mzima anajiita mwanaume kamili anatembea kabisa barabarani na kutongoza kabisa mwanamke je nyie watu hamuoni aibu yaani upo comfortable kabisa kucheka,kutabasamu na una enjoy kula kabisa huki umepata GPA below 4.5 aibu hii waungwana na ningeshauri serikali kabla ya kuwaajiri hawa watu wapelekwe jeshi au magereza wakafanye kazi ngumu ili akili ziwakae sawa
Ndiyo maana ufanisi na utendaji ni mdogo kwasababu ya hawa watu waliopata GPA below 4.5 ni weupe kichwani! Hii ni aibu aisee