Mandingo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 5,964
- 7,857
Yani kumnunulia mtu hata pombe za laki 5 ni rahisi mno mkiwa mnalewa , ila kumsaidia mtu 10k akale inaniwia vigumu mnoš¤
Yani ni kama naona watu wa pombe ni wa muhimu mno halafu wengine ndio wanafuataš¤
Hili kisaikolojia limekaaje ? Walokole siwataki hapa.