Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi?
😱😱😱😱 CCM ni laana. Na watanzania tumeshasahau. Project manager wakejuzi juzi alikuwa anajigamba kufanyia ng'ombe mazishi kama binadamu
 
Nadhani ni yule sunk cost fallacy sijui sa hivi anatumia ID gani, na mi nishawahi kukesha nae hapa πŸ˜…

Wanatakiwa kuelewa wakosoaji hawana nia mbaya, Tunaonea huruma kodi zetu tu.
Wao wanahisi sie tuna chuki na serikali, hapana tunaona vibaya kodi zetu zinavyotumika..
Hizi ni mali za watz wote, zifaidishe watz wote, sio wahuni wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…