dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,126
- 1,126
Habari wana JF
Wakati nikiwa mdogo nilikuia nashuhudia ndugu zangu wazaramo wakifanya shangwe zao kwa kupiga ngoma ya mdundiko. Hii ngoma ilikua maarufu karibu kona zote za mji wa Dar es Salaam ambazo zilikua na idadi kubwa ya wazaramu na wandegereko. Je hii ngoma imepotelea wapi? wazee wa zamani mkuje
Umenikumbushaa mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mdundiko ulikua unanifanya nipigwe na baba maana nikisikia tu ht km nakula huyo natoka getini moto🤣🤣🤣🤣loh tumekua sasa