Hivi ile 5% kati ya 100 % ya akina dada wasio na njaa kali wapo kweli?

ngongoti2000

JF-Expert Member
Nov 20, 2017
2,235
2,123
Kwa uzoefu wangu na hali ya maisha ilivyo kwa sasa 95% ya mademu/wadada wanaendekeeza njaa kali kuanzia kuomba kodi , ada,hela ya kusuka, simu , sare za sherehe nk nk....sasa miezi kama minne iliyopita nilikuwa naishi na kademu kanaonekana kanajitambua hakana tamaa....akajtahidi miezi miwili bado hajatangaza njaa kali ...hapo ndani kwangu (mi muhamiaji familia yangu iko mbali) hela ndogo ndogo za mapocho kupika, bia ,nyama choma siku moja moja siyo ishu na yake ya matumizi huwa namuachia..nikajua ile 5% ya mademu wanaoeleweka ndiyo hii sasa....duh kuanzia mwezi uliopita kaanza na kirungu cha milioni mbili anataka hela ya mtaji....nikamwambia sawa wacha masikukuu yapite...amekomaa kila siku anakumbushia..jana usiku akaniambia nimempotezea muda anahitaji mtaji milioni mbili ...duh....nimemtimua jana usiku wa manane manake pamoja na kujua kwamba nina familia ingawa iko mbali lakini inanitegemea na kuna mambo ya ada,uniform nk ameshindwa kusubiri ......Manake huyu pamoja na kumpa cheo cha mama mwenye nyumba, full kujiachia...na njaa hakuna nyumbani...wakati mwingine namuachia ka IST kangu aendeshe lakini bado karudia makosa yale yale ya wenye njaa kali....Mi ngachoka kabisa.Sasa niko najiuliza hao 5% wasio na njaa kali wapo wapi wakuu nami nikapumzishe akili ?Wapo kweli au chai tu?
 
mzee hii njaaa sio ya nchi hii halafu kinachonishangaza kwa wasichana wa tanzania wanajua mwanaume aishiwi fedha mawazo mgando sana dawa yake kutokupokea simu tuu mpaka february
 
mzee hii njaaa sio ya nchi hii halafu kinachonishangaza kwa wasichana wa tanzania wanajua mwanaume aishiwi fedha mawazo mgando sana dawa yake kutokupokea simu tuu mpaka february
Dawa ni kuwagegeda na kusepa zako
 
mzee hii njaaa sio ya nchi hii halafu kinachonishangaza kwa wasichana wa tanzania wanajua mwanaume aishiwi fedha mawazo mgando sana dawa yake kutokupokea simu tuu mpaka february
Mi sipokei simu mpaka Pasaka mwakani
 
Nimeingia kingi kwa kidemu cha kusoma aisee, unaweza kusema hakina njaa coz hakapigi vizinga zaidi ya nauli tu ya Bajaj kakija tena nitake mimi tu.... ila nimestuka kapo strategic kinoma make juzi kameanza ooh natafuta chumba ila kodi imepelea.

Naomba tu TCRA wafungie line yangu mapema iwezekanavyo, la sivyo nitazima simu kwa kipindi chote cha January.... mizinga mingi imerahisishwa na simu kuliko uso kwa uso.
 
Back
Top Bottom