Hivi ikitokea Rais wa sasa akapigwa chini kwenye uchaguzi wa 2020, hatma ya hii miradi itakuwaje?

Msukuma Original

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
928
3,330
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.
 
Ni ' Mpumbavu Mwandamizi ' tu pekee ndiyo anahisi au anadhani Rais Dkt. Magufuli hawezi Kuendelea na Kumalizia Muhula wake kwa mwaka 2020 hadi 2025.
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.
Rais atakayechaguliwa ataendeleza miradi na kurithi madeni ya nchi.
 
Mh. Umechekesha sana. Ndiyo maana wenye maono tunashauri kila Siku, Bila katiba mpya haya yote yanayofanyika sasa yatakuja kuwa ni hasara tupu huko mbele, japo kuna mengi mazuri yenye Tija kwa Taifa.haswa huu Mradi wa umeme.

Nikukumbushe tu, Kilimo kwanza kimeishia wapi?
Big Result Now (BRN) ya Jk Imefia wapi?
Kuna mifano mingi sana ya mipango mingi mizuri ya Serikali iliyopita ambayo imefutiliwa mbali bila sababu kabisa.
Hii Ina Maana. Bila Katiba Mpya, kila Rais anayechaguliwa anaaza upya kujenga nchi. Ndiyo maana Nasema Tanzania Tutakwama sana.
 
Sidhani kama atakuja rais nyumbu asiyejua umuhimu wa SGR , Stiglers gorge kwenye uchumi wa taifa.
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.

Itategemea Na vipaumbele vya ajae hatuna vipaumbele vya kitaifa,tuna vipaumbele vya kiongozi. Kilimo kwanza,uchumi wa gas vyote vimetelekezwa si vya awamu hii.
 
Back
Top Bottom