Hivi ikitokea Rais wa sasa akapigwa chini kwenye uchaguzi wa 2020, hatma ya hii miradi itakuwaje?

Ni ' Mpumbavu Mwandamizi ' tu pekee ndiyo anahisi au anadhani Rais Dkt. Magufuli hawezi Kuendelea na Kumalizia Muhula wake kwa mwaka 2020 hadi 2025.

Huu utukufu wa Ww kuwa rafiki yake Mungu? Mmeutoa wapi? Huwa anakwambia yatayojiri? Kwa hiyo huyo hata kufa hafi?
 
Sidhani kama atakuja rais nyumbu asiyejua umuhimu wa SGR , Stiglers gorge kwenye uchumi wa taifa.
Vyote hivo ni muhimu Kwa uchumi unaozunguka sio kwenye monopoly Na Sera za kuwafanya watu wawe mashetani ili iwe rahisi kuwatala mashetani hawakuzi uchumi mashetani ukuza umasikini.
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.
Hilo likitokea itakuwa ni furaha kubwa nchi nzima maana utakuwa ukombozi. Miradi yenye manufaa itaendelezwa isiyo na manufaa au yenye utata itakuwa shelved kwa tathimini zaidi. SGR ni mradi wa Community utaendelezwa, ATCL madege yata park Chato International Airport kupisha shughuli ziendelee JNIA. Mingine aah
 
Ni ukweli kabisa huwezi kupoteza pesa na TTCL wakati huduma za simu zipo nchi nzima kupitia mitanzao mingine:-
Vodacom
tiGO
Zantel
Halotel
Aitel n.k.
Yote inashindana kutafuta wateja usiku kucha na bado inalipa TTCL.Imeajiri watu wengi kupitia Mitandao Ya Pesa kama MPesa n.k.
Halafu tena tanatoa pesa za umma tunawapa kama ruzuku as if wananchi wa nchi hii wana tatizo la kupanga foleni kutafuta huduma za simu.

Kuna tatizo kutegemea mtu mmoja kutumia akili yake ya mawaida kufanya na kuamua kila kitu na kumsahau Mungu kuwa aliumba watu wengi na kila mmoja ana kipaji chake.
Na akiondoka huyu anakuja mwingine na anasonga mbele.
Hata vita hua hakuna askari anayeweza kupigana vita peke yake na kuaminisha watu kuwa bila yeye vita haiwezekani.
Hiyo itakua sinema ya komando kipensi.

Waafrika sijui nani ametuloga.
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.

kupigwa chini hiyo sahau labda kwa jambo jingine lakini october 2020 mchana kweupe mzee baba anachukua awamu yake ya pili
 
Hivi ikitokea uchaguzi wa 2020 rais tuliyenaye akapigwa chini, nini itakuwa hatma ya hii miradi ya SGR and the like. Au kuna sheria inayomlazimisha successor wake aiendeleze? Najaribu kuwaza kwa sauti.
Kwani miradi mingi aliyozindua Mh Magufuli si ilianzwa enzi za Kikwete? Mfano One Stop Centre Namanga, East Africa road Arusha, Terminal 3 nk.
 
Akija Rais mfanyabiashara wa Mabasi unadhani ataendeleza SGR? wapi hawezi, mabasi yake yatakosa abiria.
Au akiwa anauza ma generator, mradi wa umeme wa ruvu anaubwaga ili ma generator yauzwe kwa wingi. anakua president with a mission. Si unaona kule USA Mku alipunguza kodi kwa wafanyabiashara nafikiri mpaka 20% Corp.Tax anajua na yeye ana makampuni ya biashara kibao.
 
Mkuu Msukuma Original sijui kama wazo lako limeegemea kwenye uchama, ukabila, udini, ukanda nk lakini ni wazo ambalo watz wengi hatujiulizi na matokeo yake ndio maana tunatumia pesa nyingi sana na muda mwingi kufanya mambo lakini maendeleo yanakuwa kidogo!
Mfano mdogo ndio mambo kama bandari za Bagamoyo, majengo kama tanzania Peckers au jengo kama la mwendo kasi pale Jangwani. Suruhisho la haya matatizo ni kushirikishana kupitia mijadala kama madiwani, wabunge na baraza la mawaziri linaloweza kumchallenge mwenyekiti wa vikao badala ya maamuzi kuchukuliwa na mtu mmoja au kajikundi kadogo ka 'wazalendo'.
 
Back
Top Bottom