coscated JF-Expert Member Nov 17, 2010 2,919 1,968 Jan 15, 2011 #1 Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.
Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.