mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,737
Asante mkuu
Naga!! Umenikumbusha home mzeeMnyama huyu anaitwa Mhanga (pia Muhanga), Fundi Mchanga, Kukukifuku au loma. Kwetu tunamuita NAGA na Wazungu humuita Aardvark. Anapendelea kutembea usiku (noctural mammal) na ni fundi wa kuchimba mashimo na anakula chungu na mchwa.
John yohana
Correct.Mhanga
Mzee baba .....kalunguyeye nadhan unajua kabisa hashikiki kirahisi kwa miba yake ileKalunguyeye
NagaMpwa wa nguruwe
Gete namhala😀😀😀 Inaga