Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Huyu bana ni kada hapo alikuwa anaongea kiitikadi sio kitaaluma so hamna haja ya kusumbua vichwa vyenu mkimuwaza sana
 
Tatizo lako hata katiba hujaipata wala hujui imeandika nini ndani yake halafu unapiga kelele unaakili kweli wewe.

Bro unaongelea katiba ipi ni ile ya tunayotumia sasa au ile katiba pendekezwa? Kama ni katiba pendekezwa basi hata wewe ni wakupima akili!!!
Hii inayoruhusu watu kuwa na account nje ya nchi? Oooo my God !
 
kuna wakati nina REGRET yule jamaa kuwa lecturer wangu days ago.....uelewa wake unakuainfluenced sana sjui kwanin.....mbona mtaani kwetu tunaona kofia tu za katiba mpya na sio iyo katiba pendekezwa?(documented ktabu)
 
Katika wanazuoni wanaotia kichefuchefu ni huyo jamaa,mostly katika comments zake huwa anaongea pumba,if you have nothing to comment!better kaa kimya...

Mimi mkuu natamani sana kuwajua wanafunzi wa huyu profesa maji marefu - waliosoma political science pale UDSM (Deus Kibamba sina uhakika kama alifundishwa na hili tutusa?). Unaweza kukuta na wenyewe walikopi kutoka kwa mwalimu wao na huku mtaani ndo wanaongoza kwa kumwaga pumba (watu kama Nape, Lusinde, Shonza, Le Mutuz n.k). Naomba tuwajue tafadhari!!
 
kuna wakati nina REGRET yule jamaa kuwa lecturer wangu days ago.....uelewa wake unakuainfluenced sana sjui kwanin.....mbona mtaani kwetu tunaona kofia tu za katiba mpya na sio iyo katiba pendekezwa?(documented ktabu)

Eeheeeeeeeeeeeee! Ni wewe ndo nilikuwa nakutafuta. Naomba uorodheshe na wenzio mliofundishwa na hii aibu ya mwaka!! Inawezekana na nyie huko mtaani mnamwaga pumba kama za huyu profesa wenu!!! Pole sana mkuu kupitia mikononi mwa lecturer pumba kama huyu (utafikri jamaa limetoroka shule za Kata baada ya kupelekwa huko na division 5)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom