TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
Pamoja na hayo lakini anasema ukweli mtupu. Najua wengine wanaipinga Katiba inayopendekezwa simply kwa sababu siyo CCM , ni ujinga uliopitilizaHuyo ni kada wa chama siku zote haujajua?
Pamoja na hayo lakini anasema ukweli mtupu. Najua wengine wanaipinga Katiba inayopendekezwa simply kwa sababu siyo CCM , ni ujinga uliopitilizaHuyo ni kada wa chama siku zote haujajua?
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.
HIYO tu ndiyo sababu ya kumchukia? Hamnazo kabisa.Ana pumba sana.
Kauli zake si za kisomi kabisa.
Ni bora aweke wazi kuwa anazungumza kama kada wa chama tawala.
Mleta mada ana akili ya kibavicha, full viroba.Tatizo lako hata katiba hujaipata wala hujui imeandika nini ndani yake halafu unapiga kelele unaakili kweli wewe.
mkuu nimebahatika kuipata hiyo inayoitwa katiba pendekezwa, kiujumla haina utofauti na katiba ya sasa, kiujumla kilichofanyika ni marekebisho na sio katiba mpya!Tatizo lako hata katiba hujaipata wala hujui imeandika nini ndani yake halafu unapiga kelele unaakili kweli wewe.
Hivi uategemea bana kama wengine afukuzwe kazi? Anatetea mandazi ya watoto wake
Kuna tetesi kwamba Bana alishawahi kuchanganyikiwa na hatimaye kupelekwa milembe hivyo usimshangae mkuu
Mara nyingine usilete kitu ambacho hata hukijui.
Nimehuzunika sana, hili taifa sijui lina laana gani. Aibu aibu aibu msomi mzima tena wa PhD anakuwa kama mtoto wa chekechea. Kusonga hili taifa ni ndoto kama wasomi wenyewe ndiyo sample za akina Bana.Ana pumba sana.
Kauli zake si za kisomi kabisa.
Ni bora aweke wazi kuwa anazungumza kama kada wa chama tawala.
Unaona mkuu, yaani anashindwa kujenga hoja kama punguani vile. Mchungaji ndiyo aliongea bila kumuogopa mtu, yeye Bana na usomi wake unaonekana una walakini.Nilikuwa naangalia hicho kipindi, kaniudhi hadi nikafunga. Sikutegemea Dr. kweli anaweza kuendekeza sera za ubabe, makundi na mashindano ya kisiasa katika suala la katiba ya NCHI.
Nilitegemea Dr. anauwezo wa kuona kile ambacho watawala na wanasiasa wameshindwa kukiona kama si kukataa kukisema ambacho ndicho kinaleta ufa katika taifa iliyokuwa mada yao kuu.
Hainiingii akilini Dr kweli anaweza kuwa mnafiki namna hii anajipendekeza kwa watawala na kuwatia moyo bila kujali kwamba ushauri wa kinafiki ni hatari kwa usalama wa nchi.
Huyu Dr, amenishangaza kwa kuwa na hoja zinazoongozwa na jazba na ushabiki badala ya kusimama kati kati ili aote hoja zenye mashiko.
Anaposema katiba sasa ipigiwe kura wananchi waamue wanataka nini bila kujali udhaifu na magaps yaliyopo katika mchakato na muundo mzima wa matengenezo ya katiba ile, kiwango na uwezo wa watanzania katika kuelewa ikiwa wataachiwa kupigia kura kitu chenye matatizo richa ya kwamba hawana uwezo wa kuelewa bila kuelimishwa, nikapata wasiwasi kwamba yawezekana ndiyo waliomshauri Kawambwa nakikwete wafanye walichokifanya juu ya elimu Tanzania.
Huyu Bana hafai kwa sabbu hajui kufanya uchambuzi na hana mtazamo wa utaifa zaidi ya unafiki!.
Katika wanazuoni wanaotia kichefuchefu ni huyo jamaa,mostly katika comments zake huwa anaongea pumba,if you have nothing to comment!better kaa kimya...Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.
Hii ni hatari kwa Taifa sasa kuwa na wasomi wanaofundisha vijana wetu huko mavyuoni kuwa Mawazo na mitazamamo ya kuikomoa nchi na wakaao ndani yake. Janga hili.Katika wanazuoni wanaotia kichefuchefu ni huyo jamaa,mostly katika comments zake huwa anaongea pumba,if you have nothing to comment!better kaa kimya...