Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Hivi huyu Dr. Bana anajielewa kweli?

Ndikwega

R I P
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,979
Reaction score
5,529
Nimemuona kwenye kipindi cha " Je,tutafika" cha Channel Ten anatema pumba eti Katiba hii Inayopendekezwa wananchi wameipata vizuri na iko safi, hivyo UKAWA wasitake kuleta uchochezi.
Sasa ninachoshindwa kuelewa ni kuwa je, haya anayoongea ni kweli au ni kujifanya chizi kisa njaa ili aokote andazi lililotupwa jala?
Wasomi wa bongo siwaelewi kw akweli.
 
Tatizo lako hata katiba hujaipata wala hujui imeandika nini ndani yake halafu unapiga kelele unaakili kweli wewe.
 
Mkuu kwan hujui ni kada mwanifu wa ccm ambaye taaluma yake huiweka mfukoni
 
Kuna tetesi kwamba Bana alishawahi kuchanganyikiwa na hatimaye kupelekwa milembe hivyo usimshangae mkuu
 
Mkuu kwan hujui ni kada mwanifu wa ccm ambaye taaluma yake huiweka mfukoni

Ni aibu sana kwa mtu msomi kama yule kutumika kipumbavu hivyo pasi kutumia akili zake.
 
Kuna tetesi kwamba Bana alishawahi kuchanganyikiwa na hatimaye kupelekwa milembe hivyo usimshangae mkuu
Kweli rasilimali watu ya CCM ni hatari sana na aibu kwa Taifa na dunia kwa ujumla.
 
Ana pumba sana.
Kauli zake si za kisomi kabisa.
Ni bora aweke wazi kuwa anazungumza kama kada wa chama tawala.
 
Huyo ni kada wa chama siku zote haujajua?
 
BANA yuko sahihi kabisa, wanaoibeza Katiba inayopendekezwa wana maslahi yao binafsi na si vinginevyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom