ukuti ukuti wa meme
mwenzetu mwenzetu kagongwa kagongwa
na nini na nini na gari na gari
mwenzangu alinikojolea wakati tunafanya mchezo nilichapwa na mama mpaka basi
hawa watoto wenu wa yes no dukani wanagombania kutumwa
Ahahahahaa Kweli hutosahau maana hiii ni mara ya pili unaiandika humu
kama ulikuwa unatafuta pa kuyasemea ?????? umeongea kweli mkuu unalia kimapozi make up isitokeHahahaaaaaa. Watoto wa sasa ni kizazi cha play station,na nyinyi wazazi wao wa sasa ni kizazi cha kuendekeza date na michepuko na kushinda bar/grocery na pia kwenda misibani na madira badala ya kanga huku mkiwa mmejikwatua/jiremba vya kutosha.
sisahahu mama alinipa kichapo alafu siwezi kusema kwamba nimekojolewa
Mkuu hujatulia. hadi kifua kinauma kwa cheko
Huo mchezo kwa miaka hii hakuna mzazi ataevumilia yaani watoto wakianza kucheza tu atawatafutia shughuli nyingine maana sasa hivi digitali tofauti na those years watoto wote bila kujali jinsia walikuwa ndugu kutoka na misiingi iiyojengwa kuanzia wazazi mpaka viongozi wa serikalikuna mpangaji wetu alinifuma nacheza na mwanae alinitoa nduki
Weka neno hapo