miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Ukichanganya michezo yote hiyo ya utotoni na mfumo wa maisha tulipotea ndio maana bongo za kizazi hicho zilikuwa safi katika umeri mdogo yaani mtu ana miaka 8 anatumwa mjini kununua vitu na anarudi bila wasiwasi.
Aisee, chini ya umri huo watu tulikuwa tunatoka Dar to Mwanza kwa train japokuwa upo na mtu mzima lakini humo ndani ya behewa ni struggle for existence mnaonana wakati wa kula Salandasasa hivi toto la miaka 12 ukimtuma dukani anasahahu ametumwa nini?
Aisee, chini ya umri huo watu tulikuwa tunatoka Dar to Mwanza kwa train japokuwa upo na mtu mzima lakini humo ndani ya behewa ni struggle for existence mnaonana wakati wa kula Salanda
kibaba baba na kimama mama je?
huu siujui
Na huu je?...Nina kitambaa changu cheupe, kina madoa meupe, kwa heshima yoyote miss chaga pinduka...pindu, natena pinduka..pindu!
sasa hivi toto la miaka 12 ukimtuma dukani anasahahu ametumwa nini?
hawa watoto wenu wa yes no dukani wanagombania kutumwa
Watoto wa Ben 10hawa watoto wa katuni hawajacheza
Watoto wa Ben 10
Kakubwa eehee nilikuwepo enzi TRC, wewe si wa hii TRL ya juziha haha ha umenifurahisha .. kumbe we kakubwa eeeh?
Kakubwa eehee nilikuwepo enzi TRC, wewe si wa hii TRL ya juzi
hawa watoto wa katuni hawajacheza