Tupo!Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajiri ya kuwalea wana jf kiroho?
Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana jf ,kabisa naona malezi ya kiroho yanahitajika.
Wachungaji wapo humu jamani...!?
Ngoja nikusaidie kuwaita,Wakuu,
Hivi humu jukwaani kuna wachungaji wa kikristo kwa ajiri ya kuwalea wana jf kiroho?
Kuna muda ninahisi kwa hali ilivyo humu hasa nikiangalia michango ya wana jf ,kabisa naona malezi ya kiroho yanahitajika.
Wachungaji wapo humu jamani...!?
Mpaka watekaji waroma wapo hum.Humu kuna hadi majambazi,sio wachungaji tu
Hujakosea mkuu
Hujakosea mkuu