Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Sawa sii nakuwa teja wa papuchi yako lakini sii utakuwa wanipa jamani papuuchi tunaenjoy
Sikatai ila jua kuna kuchoka kabisa .
Huitaki tena ila kwangu unakata mchana masaa mawili matatu basi .
Unaitaka tena kwa kasi
 
Hasa wanaume tunakuwa serious mnoo kupitiliza huwa katika mikakati tuliojiekea humu wanaume wa jf tofauti na mitandao mingine ni kuwa wakweli na wawazi kuepuka kuwaumiza kihisia hivyo basi pale tunapokuja pm jua tunaacha nyuzi nyingi na michango mingi ya maana kuichangia tunapoteza kwa sababu yako mtoa mada hii pia inaonyesha dhahiri tuko aware na serious na kile tunachofanya pia tuko smart tofauti na wanaume wa mitandao mengine hvyo basi wakija pm wafanyie interview chukua aliekuridhisha wala usiwe na shaka juu yetu tunasifika kwa uaminifu kuliko mitandao yote bi Dada mgeni

Mungu tubariki wanaume wa Jf


Wasalaaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucheza na hisia zao unamaanisha nini??
Vipi wewe ushapata tayari?
Amemaanisha yeye ni Dume. Kuna watu huku wanajisahau wanajiumbua. Anyway usishanfaee mwanaume kuwa na ID kama yake.
 
Wekeni list za namba zenu mliosingle pm niwatafutie wenzi wa maisha.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
1.jina kamili
2.mahali unapoishi
3.Umri
4.Kazi unayofanya
5.Namba ya simu
Kama huna whtsupp ningumu kupata mke.
 
Back
Top Bottom