Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Hivi humu eti wanaume mpo serious?

Yani unakuta mtu ni yupo serious na wanaomfuata nikumfukuzia tu wamchezee au wapate mtu wakumpa kampani ya temporary
Humu wanaume wengi wapo serious ila wanawake wenyewe ndio hawapo serious wanataka watuchune halafu watuchezeshe danadana kisha watupige kibuti.
MysweetL kwani wewe ni single mother?
 
Haya ndio mambo Yale ya kwenye magroup ya WhatsApp mwanamke anasema na mm natafuta mume akifuatwa in box anajibu nilikuwa nachamsha group tu ,pumbavu zako,,unajua hakuna changamoto kuuubwa kama mapenzi ya kwenye mtandao maana watu wengi wamekalili kuwa watu wa kwenye mitandao waongo,wahuzi ,wazinifu,wezi nk


Lkn hapo amesahau kwamba na yeye yupo ktk mtandao na sio mwizi wala hana tabia mbovu mbovu mm. Nataka kuwaambia watu wa kwenye mtandao ndio tunaoishinao kitaaa kwa hiyo usiogope japo wengine wamegeuza sehemu ya kuwaumiza watu kibiashara ,mapenzi nk ,kama kuna mwanamke anaitaji kaushuli Fulani namkaribisha mp tujadili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom