Hapana sio Jeshi lolote, zilikuwa za TRC.Mkuu
Hujatuambia zamani zilimilikiwa na Nani
Ila kwa haraka haraka,hizo itakuwa ni za "jeshi"
hiv madhara yake ni yapmathsjery mkuu mimi siifahamu hiyo mitaa wala nini ila nimevutiwa na kushangazwa na kitu kimoja,hizo picha mbili za juu,naona kama nyumba zimeezekwa na asbestos.
Sasa kama ni kweli ni asbestos na kwa post yako inaonekana kana kwamba zilikuwa zinavutia 2005,je hiyo 2005 kuna watu walikuwa wanaishi? Labda kwa kuwa upo maeneo hayo hebu ulizia kama ni kweli zimeezekwa kwa asbestos.
Kama ni kweli basi nakushauri tu uwe unapita mbali sana na maeneo hayo.
Nyumba hizi zilikuwa za Railways na zote waliuziwa wafanykazi waliokuwa wakiishi katika nyumba hizo. Mimi nimeishi katika nyumba hizo miaka 14 kutoka 1981 hadi 2005. Baadaye nikajenga nyumba yangu nikaondoka maeneo hayo na kumpangisha mtu mwingine nyumba yangu niliyouziwa na serikali.hiv madhara yake ni yap
Ni kweli ila nyumba hizo zipo za serkal na trc mm ndio. Na kuna znazomilikiwa ns watu binafsi kwa kuwa waliuziwa na gvt au trc. Mm nilikaa hapo kwa kupanga kwa mtu aliekua akifanya kaz trc ambae alikua ameuziwa. Ila miaka ka 4 au 3 iliyopita serkali ilitaka kuzichukua zote. Mpka sasa cjui kiliendelea nn maana nishatoka huko kitambo.Hizo nyumba ni kweli zilikuwa za TRC, baadaye,zikawa za serikali,ambayo ilianza kuwauzia wafanyakazi waliomudu kununua. Hivyo aliyemudu kununua sehemu alokuwa anaishi alinunua na ambae hakumudu alifanywa mpangaji na mpaka leo wanaendea kulipa kodi. Mambo ni mengi,muda hautoshi.
Asbestosis na mesothelioma.Kwa kifupi ni Pulmonary fibrosis na aina mojawapo ya cancer.hiv madhara yake ni yap
hiv madhara yake ni yap
okeymesothelioma (aina mojawapo ya kansa)
asbestos (kuvimba kwa mapafu au kuharibika kwa mapafu)
Sio za jeshi ni za shirika la reli