Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,471
kwanin apite mbali mkuu?mathsjery mkuu mimi siifahamu hiyo mitaa wala nini ila nimevutiwa na kushangazwa na kitu kimoja,hizo picha mbili za juu,naona kama nyumba zimeezekwa na asbestos.
Sasa kama ni kweli ni asbestos na kwa post yako inaonekana kana kwamba zilikuwa zinavutia 2005,je hiyo 2005 kuna watu walikuwa wanaishi? Labda kwa kuwa upo maeneo hayo hebu ulizia kama ni kweli zimeezekwa kwa asbestos.
Kama ni kweli basi nakushauri tu uwe unapita mbali sana na maeneo hayo.