Kimbia fasta, matapeli at work!!Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
View attachment 1853674
Jiulize vifuatavyo..;Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
View attachment 1853674
Ahsante Kwa taarifaMmhhh,mimi nina wasiwasi maana kuna group fulani ya WhatsApp wameweka km najiuliza Mbona Lina mapungufu?, Matharani Sifa kwa kila kada.
I concur, it's fakeJiulize vifuatavyo..;
1. Hizo email za gmail.com kwa mtibwa sugar haiwezekani. Lazima wana domain yao
2. Tangazo halina Jina la HRM wala sahihi yake
3. Kiwanda ni cha zamani, idadi hiyo ya wafanyakazi wanaohitajika ni kama imewatimua wote waliokuwepo and then wanaanza upya
4. Huwezi weka qualification za aina moja kwa kazi zote...
5. Halafu eti badala ya kuandika dereva, wameandika dreva...!!!
TO ME HILO TANGAZO NI FAKE... ila najua kuna wabongo watapigwa tu..!!!
Pamoja sana MkuuAhsante Kwa taarifa
Mshahara sijui, lakini kilio kiwanda ni Tuliani MorogoroHivi mshahara kazi ya kukata miwa ni sh.ngapi?
Hiki kiwanda kipo morogoro sehemu gani?
Hakuna kampuni siriasi itatumia mail za Gmail,huo ni wizi mtupu,Kuna mishetani inataka kuibia watu,ishindwe kwa Jina mwana wa daudi,Simba wa yuda.Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
View attachment 1853674