ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Hili shindano kila linapoanza mpaka linaisha limekuwa likitangazwa sana na hata kuonyeshwa na vyombo vingi vya habari hasa TV.kwa rika zote hasa vijana ndio wanaongoza zaidi kuangalia na kufatilia matukio ya huko mjengoni.nimefanya utafiti wakati wa mashindano haya vijana wengi wanayafatilia kwa makini mno wapo wanaoyaangalia mpaka usiku wa manane
lakini vituko kinacho fanyika huko mjengoni kwa hao kaka na dada zetu ni aibu tupu.Hata waandaaji wenyewe naona ni mawakala wa kuzimu wanaonyesha wanatongozana hovyohovyo tu,hawana aibu wanaoga uchi kibaya zaidi wanafanya ngono waziwazi huku wakijua wanaonekana live kwenye TV.Eti huo upuuzi ndio vijana wenzangu tunakesha Tukiuangalia usiku kucha ajabu hatujawahi kukesha hivyo tukimuomba MUNGU kwa ajili yetu na nchi yetu .
badala ya kutumia muda wetu kufanya mambo ya maana ya kutupatia kipato cha haki tunakaa kuangalia ushetani wa hao washiriki.tena watu walivyo matahira eti hao washiriki wakitoka mjengoni kurudi kwao anapokewa na umati mkubwa wa watu kwa vigelegele na vifijo,nauliza tunawapongeza kwa lipi walilolifanya je ni huo umalaya wa mjengoni?.
eti wana jf wenzangu BIG BROTHER inatusaidia nini katika maisha au ni ulimbukeni tu?
naomba kuwasilisha hoja