tatizo lipo pale mzumbe..
vp,bado uko mzumbe mkuu?
vp,bado uko mzumbe mkuu?
Sio kufeli tu, hapa udom kuna walimu-tutorial assistants wawili from Mzumbe-wamefeli kamanda na kibarua ndo kimeota mbawa, maana ilibidi waachishwe kazi. Nomaaaa! Na kuna underground movement kwa uongozi kuacha kuchukua candidates from Mzumbe kwa kazi ya kufundisha. It appears wanafaulu sana lakini hawajui kukitoa wakijuacho kwa wanafunzi..........na ugumu na utata ndo unapoanzia hapo!
Zamani kabisa nilivyokuwa level za chini,niliamini sana ya kwamba vyuo vikuu ukifika ndio kila kitu,...yaani walimu bora,facilities mblmbl lakini kudri muda unavyosonga mbele naamini ya kwamba Tanzania hakuna vyuo bora ambavyo vinaweza kukuandaa wewe kama graduate ili baadae uweze kuwa competent unapokwenda kufanya kazi...haswa haswa abroad.vyuo ving vya bongo bado wanatoa elimu ya kubabaisha tu,mm nilijua tatizo ni kwetu...lok kumbe bongo yote inanuka...Hata hao vizabizabina wakina SENETOR wanakifanyia mapambio UDSM kote huku hakuna kitu.kila rafiki nikijaribu kuongea nao kuhusu vyuo vyao na mustakabali wa elimu wanayoipata kwa siku za baadae,wote wanalalamika na mwisho kukiri na kusema "BORA TUGRADUATE,ELIMU SIO BONGO" BONGO NI UBABAISHAJI TU.
Bongo hakuna chuo bora,vyuo vyote vya bongo=secondary school.
UDSM CHUO JINA KUBWA LAKINI HAKUNA ELIMU HAPO,ZAIDI YA VIJANA KUKUA NA KUONGEZA TAKWIMU ZA WANASIASA YA KWAMBA TANZANIA TUNAWOSOMI
Watanzania tuna matatizo sana, huna tofauti na wale wanaosema ufisadi ni wa mtu mmoja mmoja sio wa chama. Mara nyingi mfumo ndio unasababisha udhaifu wa watu husika
How about udom?mbona ukisoma job advert nyingi zimemeandikwa qualified applicants from any university but not udom.
Sio kufeli tu, hapa udom kuna walimu-tutorial assistants wawili from Mzumbe-wamefeli kamanda na kibarua ndo kimeota mbawa, maana ilibidi waachishwe kazi. Nomaaaa! Na kuna underground movement kwa uongozi kuacha kuchukua candidates from Mzumbe kwa kazi ya kufundisha. It appears wanafaulu sana lakini hawajui kukitoa wakijuacho kwa wanafunzi..........na ugumu na utata ndo unapoanzia hapo!
Ni kweli mkuu,halafu kumbuka pale passmark ni 40,SUA na MUHAS ni 50,am not sure about UDSM
How about udom?mbona ukisoma job advert nyingi zimemeandikwa qualified applicants from any university but not udom.
Tangazo la aina hii cjawah kuliona
Ni kweli mkuu,halafu kumbuka pale passmark ni 40,SUA na MUHAS ni 50,am not sure about UDSM
mkuu kwa hiyo unathibitisha kuwa tatizo hili lipo mzumbe tufunge thread au tujadili chanzo