Hivi hili lina ukweli?

Hivi hili lina ukweli?

shansarie

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2013
Posts
5,690
Reaction score
3,372
wapenda mlio na msio kwenye mahusiano hivi ni sahihi kwa mwanamke uliye kwenye mahusiano kumhimiza mchumba wako swala la kuishi pamoja kwa maana ya ndoa.
maana nilikuwa najadili na mtu then akaniambia eti mwanamke ukihimiza swala la ndoa unaonekana kuna kitu unaficha au kuna kitu unakitaka.haya maneno yana ukweli?
majibu yenu ni msaada mkubwa kwangu........
 
Kiukwel si kwel dada unajuwa nn mtu unapokuwa ktk mapenzi ya dhati na uko tayar kujenga maisha na mwenza wako unakuwa tayar na unakabili jambo hilo,maana hawa wanaume zetu wasasa wengi tusipoangalia hakuna future mm naona ni vizur kuwa muwazi ujuwe anamsimamo gani na ww na sidhan kama unakuwa unashikilia bali labda kutaka kuona mwenzio analichukuliaje!hilo
 
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?
 
Himiza tena kazana kuhimiza....usije fanywa jamvi la hitma bure kila mwenye makalio ataka kaa...
 
Usiogope ni jukumu lako pia maana sisi maboyz 2najisahau sana
Akwambie tu lini anataraji kuwa na ndoa asiseme ntakwambia wakati wa kuambiana ni sasa
 
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?

ni ww kweli!!!?
...za ckunyingi?
 
wapenda mlio na msio kwenye mahusiano hivi ni sahihi kwa mwanamke uliye kwenye mahusiano kumhimiza mchumba wako swala la kuishi pamoja kwa maana ya ndoa.
maana nilikuwa najadili na mtu then akaniambia eti mwanamke ukihimiza swala la ndoa unaonekana kuna kitu unaficha au kuna kitu unakitaka.haya maneno yana ukweli?
majibu yenu ni msaada mkubwa kwangu........

ushampa kila kitu, hadi vya uvunguni umempakulia, usipohimiza imekula kwako! tena kazana maana mawazoni mwake anawaza kitu kipya
 
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?

Ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa nimefurahi kukuona humu tena mzabzab jambo iko?
 
Last edited by a moderator:
kwa nni usihimize bwana? janaume linakutumia tuu miaka nenda rudi anakugegeda wewe wataka ndoa kwa nini usihimize mwana utanioa ama vipi?

mpaka wafanywe mitumba ndo wanastuka kwamba walikuwa wanatumiwa
 
Wanawake wanapenda kuolewa hata kama ndoa itadumu kwa wiki tu abaki na mpete wa dhahabu mkuubwa na ile ya uchumba!
 
Kushinikiza ndoa/kuishi pamoja kunaweza kuwa kwa nia nzuri au kwa manufaa binafsi ya mwanamke..kibongobongo ndo sio kivile,mitazamo inatofautiana.
 
Vizuri kuhimiza maana unaweza jua muelekeo wa mpenzi wako mapemaaaaa hata kabla hujapoteza miaka kibao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom