ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,365
- 3,302
Wala. Huo unaitwa unafiki msipigishane kelele hapo ndani. Ijaribu mkuu, inasaidia sana. Ila ukishampet Usikae hapo, aga katafute la kufanya ukirudi mzungumze mengine. Ila kama ni mpenzi wa kelele, endelea kumuonyesha wewe ni kidume hata kwenye vitu vidogo vidogo' utafurahi mzee baba. Hawashindwagi wale.Tamthiliya