Hivi hiki ni chanzo cha ugomvi kweli??

Hivi hiki ni chanzo cha ugomvi kweli??

Kuna vitu vingine unasema tu samahani mke wangu ilikuwa ni dharura, naahidi kukushirikisha, usinune, maana ukinuna unantamanisha kweli nikunanii mke wangu.

Kesho yake Tuma hata laki kama ni muhimu Ila futa massage. Jipunguzie stress mkuu. Zawadi ya maisha ni fupi.
Wewe unaishi na Mke kweli?maana unayoongea hayapo kabisa kwenye uhalisia
 
SERIUS.....????
Mke kakuta sms kweny simu yangu. Nimemtumia ndugu yangu ( wa kiume) tsh 12,000/- ( elfu kumi na mbili)

Kagomba eti why sijamshirikisha. SERIUS???

kanuna, nami nimekasirika Mara tatu take na nimemwamvbia asiingilie Mambo yangu Tena. Tusijuane yaani.

Haamini kilichotokea.
 
Yaani kanipa fursa nzuuuri ya kujiliwaza ja JF kwa ma great thinker.

Kama mtu unataraji upate utulivu kwa mkewako halaf huupati. Nini faida ya mke sasa
 
Wewe unaishi na Mke kweli?maana unayoongea hayapo kabisa kwenye uhalisia
Nina mke ndio, Ila naukimbia sana ugomvi maana unaongeza stress tu. Hata kama una hasira unaweka unafki tu unampet pale yaishe. Na si kwa mke tu, hata kwa ndugu na marafiki. Nikiona hatuelewani na tunaenda kugombana nakupet kinafki pale naenda zangu kupiga vitu vyangu nikirudi tunaongelea mengine.

Maisha ni mafupi jamani, maamuzi ya namna ya kuyatumia ni wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom