haya maisha yalivyo magumu,nyie wenzetu mna hadi muda wa kurefresh?
Wewe ndo mke wake?..kama ndiyo mwambie mume wako ujanja wake wa kishamba alivyokuwa anawagonga hao. U18 alikuwa hatakiwi kujitangazia!wakali tulikuwa tunamchora tu!
We Muuza sura mbee sana..mwanaume mzima unaongea vitu ambavyo huna hata evidence..mwanaume kua na tabia za kike hata haipendezi ..hovyo kabisa..yeye amewala hao watoto ulimshikia miguu wakati anawala? nimechukia kwasababu kipindi kinani husu moja kwa moja ..ukome kabisa!
Wewe binti kweli umeelimika naona humuonei wivu mke mwenzako bahatibo!sijui..mkiamua mnaweza watoto wa kike kumbe!Mpotezee huyo lofa, nshamshtukia anatafuta bw.an.a humu jukwaani.
haya maisha yalivyo magumu,nyie wenzetu mna hadi muda wa kurefresh?
Ntake radhi mkuu!utanifananishaje na mtoto wa kike?mimi star wewe huwezi kunifanisha na hako kademu tena local!mimi nanukia hiko kidada njiti sijui kinanuka!...katashindana na mimi humu ila siyo katika maisha ya kawaida ya ukweli!.. Maprosoo

dah! mwonee huruma kachokoza halafu kala kona!! .......