Kumekuwa na malalamiko ya ana kwa ana na ya mitandao ya jamii kuhusu warundi wakidai kuwa Kigoma ni ardhi ya Burundi.
Wengi wao wanaenda mbali kabisa wakisema ipo siku watapambana kuirejesha Kigoma yao, wakidai kuwa Tanzania inawanyanyasa sana warundi wakiingia nchini.
Je kuna ukweli gani kuhusu Kigoma kuwa sehemu ya Burundi!?
Maana hili hata mitandaoni warundi wamelikomalia sana.