Mke wangu anatabia mbaya hata kama anajua nimetoka kazini nimechoka akiniona tu baada ya muda ni hata kama anajua nimechoka hakuna kupeana pole kwa uchovu yeye atakachofanya ni kuanza kuniuliza maswali ya ajabuajabu mfano leo tunapika nini wakati hela ya chakula nimemuachia sasa sijui nikimjibu pika chochote anaanza kufoka sijui lengo lake nini naombeni ushauri wazee wa jukwaa.

Dawa: Tafuta Small House, unapita unapumzika kwanza ukirudi nyumbani hata uboreki tena!:mwaaah:
we mjanja kweli siku akinasiana hutakuepo kumsaidia aibu yake,huu ushauri ni balaa
walewale!!!mwambie pia ajiandae kuachana na mkewe atapojua hilo, usisahau na ukimwi na kuzaa watoto wa nje tena wanaokuwa na baba zaidi ya mmoja , raha sana chezea vidumu ninyi?Dawa: Tafuta Small House, unapita unapumzika kwanza ukirudi nyumbani hata uboreki tena!:mwaaah: