Hivi hii kasumba ya kusema uzuri ni perception ya mtu, mbona ni kama kutiana moyo tu

dokolombwike

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
373
615
Jamani nimeshuhudia mara kadhaa hapa jamii forum na sehem nyingine watu kujitoa ufahamu na kusema binadam wote ni sawa na hakuna mzuri wala mbaya lakini, Napingana kabisa na hayo mawazo uzuri umezidiana lakini kuna wanawake wazuri kuliko wenzao tuwe wakweli jamani,kujipa moyo saa nyingine kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa sio vizuri,kuna madem visu aiseee,sizungumzii sura nazungumzia tabia.Najua wabaya watakuja na mapovu ila sina jinsi,always truth will stand.
 
Nachojua nimeumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu, kwa Mungu wote sawa ila wanadamu sasa ... Anyway nimeridhika na nilivo namshukuru Mungu kuniumba hivi uzuri na ubaya uko machoni pa mtu .. Ndio maana unaweza sema huyu mkaka mzuri sijui mrembo kumbe mie naona kawaida sana so kila mtu apambane na uchaguzi wake mkuu...
 
Hili swala la kusema hakuna mbaya duniani wote sawa ni la kinafiki na kujitoa ufaham wakati ukweli unaujua moyoni,nimeona hapa jamii forum na sehem zingine watu wanajaribu kujifanya uzuri wa mtu ni perception ya mtu ila hakuna mzuri au mbaya.Napinga vikali sana. mfano mademu wanazidiana sana, kuna madem visu bwana tuache utani jamani sisi watu wazima.Mbaya kumtukana mtu kuwa we mbaya lakini kutambua tu kuna wazuri na wabaya sio dhambi,Mkiendelea kujitoa ufahamu naleta picha sasa hivi.
 
Hiyo kauli ya uzuri ni perception ya mtu mie naiunga mkono kwani unachokiona wewe kizuri yupo mwingine anaona ni cha kawaida ama kibaya kwako kizuri kwa mwenzio
Yaani natolea mfano mie nina mdogo wangu yaani wanawake anaotoka nao mie huwa naona ni wabaya kwa mtazamamo wangu lakini yeye akianza kusifia yaani mpaka napata kizunguzungu

Sent from Ili iweje
 
Jamani nimeshuhudia mara kadhaa hapa jamii forum na sehem nyingine watu kujitoa ufahamu na kusema binadam wote ni sawa na hakuna mzuri wala mbaya lakini, Napingana kabisa na hayo mawazo uzuri umezidiana lakini kuna wanawake wazuri kuliko wenzao tuwe wakweli jamani,kujipa moyo saa nyingine kwa vitu ambavyo viko wazi kabisa sio vizuri,kuna madem visu aiseee,sizungumzii sura nazungumzia tabia.Najua wabaya watakuja na mapovu ila sina jinsi,always truth will stand.
Kwa hiyo wewe mtu unayemuona mbaya, ukiambiwa mzuri, utakubali?

Sent from my Kimulimuli
 
Hili swala la kusema hakuna mbaya duniani wote sawa ni la kinafiki na kujitoa ufaham wakati ukweli unaujua moyoni,nimeona hapa jamii forum na sehem zingine watu wanajaribu kujifanya uzuri wa mtu ni perception ya mtu ila hakuna mzuri au mbaya.Napinga vikali sana. mfano mademu wanazidiana sana, kuna madem visu bwana tuache utani jamani sisi watu wazima.Mbaya kumtukana mtu kuwa we mbaya lakini kutambua tu kuna wazuri na wabaya sio dhambi,Mkiendelea kujitoa ufahamu naleta picha sasa hivi.
lete picha bob

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom