MZEE WA KADAWA
Member
- Apr 1, 2013
- 11
- 2
Wadau kuna wadau wanahusiana na mambo ya ukimwi wako jiji la Mwanza watu wamesainishwa mkataba na kulipia mtihani 30,0000, kitambulisho 5,000. Vipi kuna uhalali kweli wanajiita HIV international, kuna ndugu yangu kasaini mkataba anaambiwa magari yapo bandarini lakini hawana hata viti kwenye ofisi.
Wadau hebu tuchangie mawazo yenu kidogo najua kuna walioingia mkenge kama ndugu yangu na wanawaambia watu kwenda Congo
Wadau hebu tuchangie mawazo yenu kidogo najua kuna walioingia mkenge kama ndugu yangu na wanawaambia watu kwenda Congo