Yaan hawa majamaa wameanza utapeli mwaka 2010,wanaitwa Mr.Single(Accountant) na mwingine anajiita Chief...mimi walinitapeli laki tatu wakanipa mkataba mpaka leo sijaipata hiyo kazi...namba zao za simu ni 0767994800 na nyingine ni 0655994800.Tunaomba wahusika wote wawe makini ikiwezekana wawapeleke kwenye vyombo vinavyohusika.Huo mwaka 2010 tuliacha kazi baada ya kusaini mkataba lakini tulibakia mwanza kuwa ombaomba.