Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
mmesigana na mwenza wako kiasi kwamba hamna mawasiliano yoyote lakini mnamisiana sana tuu, halafu nite moja unaota ndoto tamu mno, mko wote mmepatana na mnakumbushana machungu ya kipindi ambacho mligombana, mnacheka kwa furaha, unageuka kitandani ili umkumbatie na kumbusu unashtuka na kujikuta ukn pekeyako kitandani usiku mwingi na mito yako
haya na ww ulipotelea wapi?