Hivi hii imekaaje?

Hivi hii imekaaje?

kwa taarifa yako hamna mazoea mabaya kama mtoto wa kike kwa mwanaume,alafu uitwe braza..ok,pia unaona kabisa huyu ni kama sister kwako,then bado uitwe bro???kweli???[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kwa Kaka na Dada tu, kiujumla haitakiwi kwa 100% mazoea baina ya Mwanaume na Mwanamke, hujiulizi kwanini Wazee wetu wa zamani walitukataza kabisa, au hujui hao ni viumbe dhaifu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, utu uzima siyo kuwa mpole wakati wote kama mmbwa koko, wakati mwingine unatakiwa kuwa kama mbogo.

"Time is wealthy when it's timed consecutively"
yaani mkuu najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana,kuna watoto wa ndugu zangu,kuna dada zangu..yaani mpaka ninaowaheshimu..mazoea hayakati dah!
Nitaanza zoezi la kutembeza bakora coz no way[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom