- Thread starter
- #81
Hahhaha pole yangu sikupi mm nipoteze bure hapana kwakwelikwani insta babe hujui nipo katika siku 40 za kurepent hapa nimebakiza 35
kwahyo pole nipe mimi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli cute aliniondolea uaminifu wangu wote kwa insta babe daaaahHahhaha pole yangu sikupi mm nipoteze bure hapana kwakweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui ufanye nn mpaka uaminifu urudi week unazunguka na cute hapana jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli cute aliniondolea uaminifu wangu wote kwa insta babe daaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujana ule siku hizi nimezeeka nimeokoka... nimekuwa mkaka mwema kabisa insta babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui ufanye nn mpaka uaminifu urudi week unazunguka na cute hapana jamani
[emoji1787][emoji1787] Ebu niache kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujana ule siku hizi nimezeeka nimeokoka... nimekuwa mkaka mwema kabisa insta babe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kaka
Mmmh
Vp mkuu ndo huwa mnamaanisha nini?kuna siri ganiSawa kaka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] Ebu niache kidogo
Hahaha hahaha hahaha
Tunamaanisha tuu kaka wala hamna la mnoVp mkuu ndo huwa mnamaanisha nini?kuna siri gani
sababu kiyu chochote kile behind the scene kuna jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]Ongeza juhudiHahaha hahaha hahaha
Bado kidogoo
Ndo najitahidi hivyo aki
ndio heshima ni muhimu..lakini kuna wakati wanavuka mipaka na kuendeleza mazoea ambayo siyo poa.Kazi kwelikweli sasa kama wewe ni Mwanaume ulitaka wakuiteje?
Unanukianukia mafuta ya Segerea sababu tayari nina taarifa zako kuwa unamnyemelea dada yako wa damu.mbali na hayo,acha niendelee kutulia tuu..unaambiwa hamna kosa kubwa kama kufanya ujinga nyumbani(eneo/mtaa unaoishi)bora ufanyie mbali kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hairuhusiwi kumzoea kaka