Hivi hii imekaaje?

Hivi hii imekaaje?

Hivi hii imekaaje warembo wazuri wazuri,wengine wadogo zangu kuwa na mazoea ya kuniita "Kaka?". .yaani mpaka nakossa hamu sasa
Yaan naona kabisa huyu ni mdogo wangu lakini mazoea hayapungui,Na wengine ndugu..na huku bado naitwa braza kweli haki hii jamani??+kwenye phone usumbufu usumbuf
Shikamoo kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom