Hivi hii ikoje kwenu?

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Si kutu cha ajabu kusikia wadau wa kundi fulani wametokea kuandaa kitu cha kuwakutanisha kwa pamoja.
Sijuwi na hapa imeshawahi kutokea hii au....?
Ila kwa ufupi, natamani itokee.
Huu ni mtazamo wangu tu, sijuwi na nyie mnasemaje ktk hili.
 
Sijuwi sijaeleweka kwasababu ya uandishi tu au ni kutokana na kitu nilichokiongelea hakiingi akilini kwa hapa kutokana na kuwa membe wa jf wapo despersed kwa sana.
Na nikisema kuhusu kuonana, ninamaana ya kujumuika pamoja ktk eneo walilokubaliana kwa ajili ya hilo. Tuseme kwa member waliopo dar, wanaweza kufanya kitu hiki hasa kupitia uongozi au memberz wenyewe tu
 
hukueleweka kwa maandishi na ulichoandika pale juu..

but nway sasa nimekupata
waweza kuu PM wachache ambao wako eneo
hilo unaloishi mkakutana nao au wa weza anzisha thread
.. si dhani Mods watakusaidia
kwa hilo lakini waweza jaribu..
 
Sijuwi sijaeleweka kwasababu ya uandishi tu au ni kutokana na kitu nilichokiongelea hakiingi akilini kwa hapa kutokana na kuwa membe wa jf wapo despersed kwa sana.
Na nikisema kuhusu kuonana, ninamaana ya kujumuika pamoja ktk eneo walilokubaliana kwa ajili ya hilo. Tuseme kwa member waliopo dar, wanaweza kufanya kitu hiki hasa kupitia uongozi au memberz wenyewe tu
Mbona watu wanakutana sana mimi wengine hadi nimefahamiana na familia zao na tumekuwa marafiki wakubwa tu its Beyond Keyboard my friend
 
dahhhh
sikujua mpira unaweza
chakachua akili za mtu hivyo duuuhhhhh

Wala nilikuwa siangalii mpira ila nimeweka post hii mara tu baada ya kuamka. Lkn licha ya kuwa nililala kwa muda mrefu, nimeamka na akili zangu timamu. Labda uwe ni ufinyu wangu wa mawazo uliyopelekea kuweka sredi hii.
 
mambo madogo tu..
lakini tunakuelewa sasa
ingekuwa fresh unge i edit kidogo
hapo mwanzo ili mtu akiingia tu aelewe na kukujibu..
have a nice day:plane:
 
sasa nimekupata
waweza kuu PM wachache ambao wako eneo
hilo unaloishi mkakutana nao au wa weza anzisha thread
.. si dhani Mods watakusaidia
kwa hilo lakini waweza jaribu..

Ya kuPM inawezekana lkn hii ninayoongelea mm ipo ki-artificial zaidi. Na kwa mods kupitia njia kama hii wanaweza hata kufanya donation kwa ajili ya jf, ingawaje zipo njia nyengine za kuichangia na zinatekelezwa pia
 
Mods hawana ulazima wa kuwepo ktk hili.
"Acheni kwanza nijipange then nitaandaa tafrija ya kiasi na kuivite baadhi ya wana MMU"

Bora uandae hiyo tafrija..mi nna hamu sana ya kuona hizi sura za kwenye avator,naamini hizo avator zinafanana na wahusika kama mi ninavyofanana na hii yangu lol:)
 
mh kuna watu watajitambulisha kwa id feki, si unajua tena....
Kayla na ww unaupenda mchorano eeh.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom