Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 21,515
- 52,168
- Thread starter
- #141
Nenda Dodoma ndio utashangaa,yaani mitaro ya maji machafu inatoa balaa halafu kama vile kila kitu kipo sawa,hakuna Mamlaka inayojishughulisha kuondoa hali hiyo,hayo ni baadhi ya maeneo machache tu huenda asilimia kubwa ya mikoa mingine nayo ipo hivyo hivyo pia,nchi yetu kwa kweli bado sana
Huenda ndio maana madhara ya kisaikolojia yapo mpaka Kwa Viongozi wengi