Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,041
- 13,682
Miss KIGOMA 2017
Acha ulafi Jose.Yupo vizuri...una namba yake??
Hahaha sawa lakini sina nia mbaya..nataka nimpe pongezi tuAcha ulafi Jose.
Tujitahidi kuwa wakweli mkuu tutaokoa wengiToeni sababu msimkatae bila sababu. Yuko poa viwango vyote ndo maana alijitokeza. Kujiamini kunasaidia mno.