CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mambooozzzz.....
Enzi zile za kipindi kile kulikuwa na majina kama bibi, babu, kadadaa, kabibi, kababu, kamamaa n.k na kuna wengine hapa tulipewa haya majina na wazazi wetu tukiwa watoto. Lakini siku hizi hayapo tena bali kuna baby, mamy, junior n.k.
Au ndio majina ya kidigitali nini???